# yeye abarikiwe na Yahweh Naomi ana muuliza Mungu kumpa thawabu Boazi kwa ukarimu wake kwa Ruthi na yeye. # kwa waliyo hai "kwa watu wanao ishi" # wafu "watu waliyo kufa"