# Alipo inuka kukusanya nafaka, Boazi aliamuru vijana wake Katika muktadha wa amri, inawezekana Ruthi alikuwa mbali sana na maelekezo ya Boazi # Alipo inuka "Alipo inuka" # usimkeme "usimsababishie aibu"