# kwa Mungu pekee mwenye hekima...kuwe na utukufu milele. Amina Hapa "kupitia Yesu Kristo" kunaeleza kile ambacho Yesu alifanya. Kumpa utukufu kunamaanisha kumpa Mungu sifa.