# katika kupita "kama na kwenda kupitia Rumi" au "wakati niko safarini" # kufurahia ushirika wenu "kufurahi kutumia kiasi cha muda pamoja nanyi" au "Kufurahi kuwatembelea" # Hispania Hili ni jimbo magharibi mwa mji wa Rumi ambapo Paulo alitamani kupatembelea