# Si jambo jema kula nyama, wala kunywa divai, wala chochote ambacho ndugu yako anaona ni vibaya "Ni afadhali usile nyama au kunywa divai au chochote ambacho kinawaza kumsababisha mwenzako afanye dhambi" # Yako Hii inamaanisha imani thabiti na "Ndugu" inamaanisha ndugu aliye dhaifu.