# Atatoa hesabu yake kwa Mungu "atatoa maelezo ya matendo yetu kwa Mungu # Lkini badala yake amua hivi, kwamba hakuna mtu atakaye weka kitu cha kujikwaa au mtego kwa ndugu yake Hapa "kitu cha kujikwaa" na "mtego" inamaanisha kitu kilekile. " Lakini fanya kuwa lengo lako kutofanya au kusema neno lolote ambalo linaweza kumfanya mwamini mwenzako kufanya dhambi" # Ndugu Hapa hii inamaanisha mwamini mwenzako, ikijumuisha wanawake na wanaume.