# Nasi tu... Paulo anajumlisha wasomaji wake na waamini wengine pamoja na yeye mwenyewe. # Kama katika siku "Katika hali ya kuonekana" au tukijua kuwa kila mtu anaweza kutuona" # Ugomvi Hii inamaanisha njama dhidi ya na mabishano na watu wengine. # Wivu Hii inamaanisha hisia hasi ya mtu dhidi ya mafanikio ya mtu mwingine au faida juu ya mtu mwingine # Mvae Bwana Yesu Kristo Hii inamaanisha kukubali asili mema ya Kristo kana kwamba ni vazi letu la juu ambalo watu wanaweza kuona. # Vaa Kama lugha yako ina usemi wa wingi wa maagizo, unaweza kutumia hapa. # Usitoe mwanya kwa mwili "Usiupe nafasi yoyote moyo wako wa zamani kufanya mambo mabaya" # Mwili Hapa inamaanisha asili ya dhambi ya mtu.