# Kwa kuwa Paulo anaeleza nini kitatokea ikiwa serikali itamtia hatiani mtu. # Watawala si watu wa kuogofya Watawala hawafanyi watu waogope. # Kwa mema... kwa maovu Watu hutambulika kwa " matendo yao mema" au " matendo yao mabaya" # Je unatamani kuwa mwenye kuogopa mamlaka "Ngoja nikueleze jinsi ya kuogopa mamlaka" # Utasifiwa kutokana na hiyo Serikali itasema mambo mazuri juu ya wale watendao mema. # Habebi upanga bila sababu "Anabeba upanga kwa sababu iliyo njema" au " anauwezo wa kuwaadhibu watu, na atawaadhibu watu." # Mlipakisasi kwa gadhabu " Mtu anaye adhibu watu kama maelezo ya hasira ya serokali dhidi ya maasi" # Si tu kwa sababu ya gadhabu, lakini pia kwa sababu ya dhamiri. "Siyo tu kwamba serikali haitawaadhibu, bali pia utakuwa na dhamiri safi mbele za Mungu"