# Acha meza zao ziwe na wavu "Meza" inawakilisha sherehe, na "neti" au "mtego" inawakilisha adhabu. Nakusihi Mungu wakamate na uwatege katika sherehe zao" # Makwazo "kitu kinachowafanya watende dhambi" # na kulipiza kisasi dhidi yao "kitu kinachokuruhusu kulipa kisasi kwao" # Ukawainamishe migongo yao daima Daudi alimuomba Mungu awafanye adui zake kuwa watumwa wanaobeba mizigo mizito kwenye migongo yao daima.