# Kwani si hivyo? "Kwanini hawakuweza kuifikia haki?" # kwa matendo "kwa kujaribu kufanya mambo ambayo yangemfurahisha Mungu" au "kwa kuifata sheria" # jiwe la kujikwaa "jiwe ambalo watu wanajikwaa" # kama ilivyo kwisha andikwa "kama Isaya nabii aliandika" # amini ndani yake Kwa sababu jiwe husimama kwa ajili ya mtu, unaweza kuhitaji kutofasiri "amini katika yeye"