# yeye...yake Maneno "yeye" na "yake" urejea kwa Mungu. # vyombo vya gadhabu...vyombo vya rehema "watu wanaostahili gadhabu...watu wanaostahil rehema" # wingi wa utukufu wake "utukufu wake, ambao ni dhamani kubwa" # ambao alikwisha kuandaa kwa ajili ya utukufu. "ambao alikwisha kuaanda mbele ya wakati kutoa utukufu" # pia kwa ajili yetu Neno "yetu" hapa urejea kwa Paulo na wakristo wenzake. # kuitwa Hapa hii ina maanisha Mungu amewateua au kuchagua watu kuwa watoto wake, kuwa watumishi wake nd watangazaji wa ujumbe wake wa wokovu kupitia Yesu.