# Sentensi unganishi: Paulo anaendelea kulinganisha miili yetu sisi kama waumini na Roho tuliye naye. # nia ya mwili...ile nia ya Roho "jinsi ambavyo wenye dhambi hufikiri...jinsi ambavyo wale wanaomsikiliza Roho Mtakatifu hufikiri" # kifo Hapa hii inamaanisha kutengwa kwa mtu na Mungu