# Taarifa unganishi: Paulo anatukumbusha kwamba Mungu hatufanyi sisi kuwa watakatifu kwa njia ya sheria. # sisi kiwakilishi hiki cha jina humaanisha Paulo na wale walioamini. # barua "sheria ya Musa"