# sisi...sisi Yote yatokeayo kwa "sisi" urejea kwa wakristo wote na inapaswa kuhusishwa. # Mwana wake...maisha yake "Mwana wa Mungu...maisha ya mwana wa Mungu" # tulikuwa tumepatanishwa kwa Mungu kupitia kifo cha mwana wake Kifo cha mwana wa Mungu kimetupa msamaha wa milele na kutufanya sisi marafiki pamoja na Mungu, kwa wote wanaoamini katika Yesu. # Mwana Hili ni jina muhimu kwa Yesu, Mwana wa Mungu # baada ya kuwa tumepatanishwa "sasa basi Mungu hutuona sisi marafiki wake tena"