# Si hivi tu Neno "hivi" urejea kwa mawazo yaliyoelezwa ndani # Sisi...vyetu...sisi Yote yanayotokea kwa "sisi" "vyetu" na "sisi" urejea kwa wakristo wote na inapaswa kuhusishwa # kukubalika Neno hili "kukubalika" urejea kwa usemi wa Mungu kwamba hii ni nzuri # ujasiri kwa wakati ujao Hii ni hakika kwamba Mungu atatimiza ahadi zake zote kwa wale wanao mwamini Kristo.