# Sentensi unganishi: Paulo anaendelea kuweka wazi maelezo yake kwa watu wa Rumi kwa kuelezea shauku yake ya kuwaona mmoja mmoja. # Kwa kuwa natamani kuwaona "kwa kuwa nataka kuwaona" # Kwa kuwa "kwa sababu" # baadhi ya zawadi za roho, ili kuwatia nguvu "baadhi ya zawadi toka kwa Roho Mtakatifu, ambayo itawasaidia na kuwatia nguvu" # Ambayo ni, mfarijiane kati yenu, kupitia imani ya kila mtu, yenu na yangu "Namaanisha kwamba nataka tutiane moyo kwa kutumia uzoefu wa imani yetu kwa Yesu"