# Wafu waliobaki "watu wote wengine waliokufa" # miaka elfu ilipokuwa imeisha "mwisho wa miaka 1,000" # Mauti ya pili haina nguvu juu ya watu hawa Hapa Yohana anafafanua "mauti" kama mtu mwenye nguvu. "Watu hawa hawatapitia kifo cha pili" # Mauti ya pili "kufa mara ya pili." Hii inaelezwa kama adhabu ya milele katika ziwa la moto la 20:13 na 21:7. "kifo cha mwisho ni ziwa la moto."