# Kauli Unganishi: Malaika amaliza kuzungumza na Yohana kuhusu kahaba na mnyama. # ni Hapa "ni" inamaanisha "anawakilisha" # mji ule mkubwa utawalao Inaposema mji unaotawala, inamaanisha kwamba kiongozi wa mji anatawala. "mji mkuu ambaye kiongozi wake anatawala"