# ni mmoja wa wale wafalme saba Maana zinazowezekana ni 1) mnyama anatawala mara mbili: kwanza kama mmoja wa wafalme saba, na kisha kama mfalme wa nane au 2) mnyama yuko katika kundi la hao wafalme saba kwa sababu ni kama wao. # anaenda kwenye uharibifu Uhakika wa kile kitakachojiri mbeleni kinazungumziwa kana kwamba mnyama anaendako. "hakika itaangamizwa" au "Mungu hakika ataiangamiza"