# Kauli Unganishi: Malaika anaendelea kuzungumza. Hapa anafafanua maana ya vichwa saba vya mnyama ambavyo mwanamke amepanda. # Wito huu "hii inaifanya ulazima kuwa" # Wito huu ni kwa ajili ya akili zilizo na hekima Nomino "akili" na "hekima" zinaweza kuelezwa na "fikiri" na "kwa hekima." Kwa nini akili yenye hekima inahitaji inaweza kuwekwa wazi. "Akili yenye hekima inahitaji ili kuelewa hili" au "Unahitaji kufikiria kwa hekima ili kuelewa hili" # Vichwa saba ni milima saba Hapa "ni" inamaanisha "kusimamia," "wakilisha." # Wafalme watano wameanguka Malaika anazungumzia kufa kama kuanguka. "Wafalme watano wamekufa" # mmoja yupo "mmoja ni mfalme sasa" au "mfalme mmoja yu hai sasa" # mwingine hajaja bado; wakati atakapokuja Kutokuwepo inazungumziwa kama bado hajafika. "mwingine bado hajawa mfalme; akiwa mfalme" # atakaa kwa muda mfupi tu Malaika anazungumzia kuhusu mtu kuendelea kuwa mfalme kana kwamba anabaki mahali fulani. "atakuwa mfalme kwa muda mfupi tu"