# Kauli Unganishi: Hii ni sehemu ya bakuli la saba la ghadhabu ya Mungu. # milima haikuonekana tena Kutokuweza kuiona milima ni mfano wa maneno yanayoeleza wazo ya kwamba milima haikuwepo tena. "milima haikuwepo tena" # talanta "kilo 34"