# Taarifa ya Jumla: Mstari wa 15 ni mapumziko kutoka katika masimulizi makuu ya maono ya Yohana. Haya ni maneno yaliyonenwa na Yesu. Masimulizi yanaendelea mstari wa 16. # Tazama! Ninakuja Inaweza kuwekwa wazi kwamba Bwana Yesu ndiye aliyesema haya katika UDB. Mabano yanatumika hapa kuonesha kuwa sio sehemu ya masimulizi ya maono. # Ninakuja kama mwizi! Yesu atakuja wakati watu hawatarajii kama vile mwizi ajavyo asipotarajiwa. # atunzaye mavazi yake Kuishi njia sahihi inazungumziwa kama mtu kutunza mavazi yake. "kufanya kilicho sahihi kama mtu atunzavyo mavazi yake mwilini" # atunzaye mavazi yake Tafsiri zingine hutafsiri, "kukaa na mavazi yake" # kuiona aibu yake Hapa "watakaoina" ni watu wengine. # Waliwaleta pamoja "roho za mapepo ziliwaleta wafalme na majeshi yao pamoja" # sehemu iliyoitwa "sehemu watu waitayo" # Amagedoni Hili ni jina la sehemu.