# alimwaga bakuli lake Neno "bakuli" linamaanisha kile kilichomo. "kumwagwa divai kutoka katika bakuli lake" au " kumwaga ghadhabu ya Mungu kutoka katika bakuli lake" # bahari Hii inamaanisha maziwa yote ya maji ya chumvi na mabahari.