# alipewa mamlaka "Mungu alimpa mamlaka mnyama" # kila kabila, watu, lugha na taifa Hii humaanisha watu kutoka kila kabila wanahusika. # watamwabudu "watamwabudu mnyama" # kila mmoja ambaye jina lake halijaandikwa ... katika Kitabu cha Uzima maneno haya yanaweka wazi ni nani duniani atakayemwabudu mnyama. "wale ambao majina yao hayakuandikwa na Mwanakondoo ... katika Kitabu cha Uzima" au "wale ambao majina yao hayakuwemo ... katika Kitabu cha Uzima" # toka uumbaji wa dunia "Mungu alipoumba ulimwengu" # mwanakondoo Huyu ni mtoto wa kiume wa kondoo. Hapa hutumika kuashiria kuwa ni Kristo. # aliyechinjwa "yule ambaye watu walimchinja"