# joka alitambua kuwa ametupwa chini kwenye nchi "joka alitambua ya kwamba Mungu amemtupa nje ya mbingu na kumtuma duniani" # alimfuata mwanamke "alimfukuza mwanamke" # joka Hili lilikuwa tambaazi kubwa kali, kama mjusi. Kwa wayahudi ilikuwa ni alama ya uovu na machafuko. Joka linatambulika pia katika mstari wa 9 kama "ibilisi au Shetani" # wakati, nyakati na nusu wakati "miaka mitatu na nusu" # nyoka Hii ni njia nyingine yakumaanisha yule joka.