# atayatawala mataifa yote kwa fimbo ya chuma Kutawala kwa ukali kunazungumziwa kama kutawala kwa fimbo ya chuma. "Atawatawala kwa ukali kama vile anawapiga na fimbo ya chuma. # Mtoto wake alinyakuliwa juu kwa Mungu "Mungu alimchukua upesi mtoto wake"