# Kauli Unganishi: Mwanakondoo afungua muhiri wa saba. # muhuri ya saba Huu ni muhuri wa mwisho katika ukurasa. "muhuri unaofuata" au " muhuri wa mwisho" au "muhuri namba saba" # wakapewa tarumbeta saba Wote walipewa tarumbeta moja. Maana zinazowezekana ni 1) "Mungu aliwapa tarumbeta saba" au 2) "Mwanakondoo aliwapa tarumbeta saba"