# waliotiwa muhuri Hii inaweza kusemwa kama kitenzi. "wale ambao wamewekwa alama na malaika wa Mungu" # 144,000 "watu laki moja na elfu arobaini na nne" # Elfu kumi na mbili kutoka kabila "12,000 kutoka katika kabila"