# Taarifa ya Jumla: Mwanakondoo aonekana katika chumba cha kiti cha enzi # mwanakondoo "mwanakondoo" ni mtoto wa kiume wa kondoo. Hapa hutumika kuashiria kuwa ni Kristo. # roho saba za Mungu Namba saba ni alama ya ukamilifu na utimilifu. "Roho saba" humaanisha mojawapo kati ya Roho ya Mungu au roho saba zinazomtumikia Mungu. # zilizotumwa duniani kote Hii inaweza kutafsiriwa na kitenzi. "kwamba Mungu alizozituma kote duniani # Akaenda Akakaribia kiti cha enzi. Lugha zingine zitatumia kitenzi "njoo". "alikuja"