# Yeye ashindaye Hii humaanisha mtu yeyote atakayeshinda. "yeyote atakayekataa uovu" au "kwa wale ambao hawatakubali kufanya uovu" # atavikwa mavazi meupe Hii inaweza kutafsiriwa na kitenzi. "atavaa mavazi meupe" au " Nitampa ngu nyeupe" # nitalitaja jina lake Hata taja jina lake tu bali atatangaza kuwa huyu ni mtu wake. "Nitatangaza kuwa ni mali yangu" # Baba yangu Hili ni jina muhimu la Mungu linaloeleza uhusiano kati ya Mungu na Yesu. # Mwenye sikio asikie Kuwa tayari kusikiliza inazungumziwa kama kuwa na sikio. "Acha ambaye yuko tayari kusikiliza asikilize" au "kama uko tayari kusikiliza, sikiliza"