# kwa wana wa wafalme Hapa "wana wa wafalme" inawakilishwa viongozi wote wanadamu. # kwa wanadamu, ambamo hakuna wokovu "kwa mtu yeyote kwa sababu hawezi kukuokoa" # kwa wanadamu "kwa watu" # Pumzi ya mtu inaposimama Hii ni njia ya ustarabu ya kumaanisha mtu anakufa. "Mtu anapokufa" # anarudi mavumbini Hii inamaanisha kamaMungu alivyomuumba binadamu wa kwanza, Adamu, kutoka mavumbini, hivyo pia mwili wa mtu utaoza na kuwa mavumbi tena atakapokufa.