# Taarifa ya Jumla: Katika mstari wa 13 anayetamani ni Yahwe na mstari wa 14 anayezungumza ni Yahwe. Yule anayetamaniw ni Sayuni. # Sayuni ... amemtamani ... ninmtamani Mwandishi anaandika kana kwamba mji wa Sayuni ulikuwa ni mwanamke. # amemtamani kwa ajili ya kiti chake Hapa "kiti" kinaashiri kati ya 1) kiti chake cha enzi atakapotawala, au 2) sehemu atakayo ishi. # amemtamani kwa ajili ya kiti chake Yahwe ametamani Sayuni kwa ajili ya kiti cha Yahwe." Hii inaonesha washiriki halisi. # sehemu yangu ya kupumzika Sehemu ambayo Mungu alichagua ya watu kumwabudu inazungumziwa kama sehemu anayopumzikia au anapoishi milele. "sehemu ninayokaa" au "hema langu"