# chukia na kinyongo Maneno haya mawili inamaanisha karibu kitu kimoja. "nachukia sana" # uongo maana zinazowezekana ni njia nyingine ya kusema 1) "watu wanaodanganya" au 2) "vitu vya uongo ambavyo watu wanasema"