# Sikia sauti katika uaminifu wako wa agano Mwandishi anazungumzia anachokisema kana kwamba ni sauti anayotumia kuzungumzia. "Sikia ninachosema kwa sababu ya uaminifu wako wa agano" # wako mbali na sheria yako "wamepotoka mbali na sheria yako" au "hawazingatii sheria zako"