# QOPHU Hili ni jina la herufi ya kumi na tisa ya alfabeti ya Kihebrania. Katika lugha ya Kihebrabia, kila mstari wa msistari ya 145-152 unaanza na herufi hii. # kwa moyo wangu wote Mwandishi anajizungumzia mwili ukamili wake kana kwamba ni moyo wake tu. "kabisa" # amri za agano Maana zingine zinazowezekana ni "shuhuda" au "sheria"