# Maisha yangu daima yako mkononi mwangu Hii ni lahaja inayomaanisha maisha ya mwandishi yako hatarini wakati wote. "Adui zangu huwa wanajaribu kuniua" # Sisahau sheria yako "Daima huwa nakumbuka sheria zako" # Waovu wameweka mtego mbele yangu Watu waovu kujaribu kumshika na kumuua mwandishi inazungumziwa kana kwamba ni wawindaji wanaanda mtego kumshika mnyama. # Waovu "Watu waovu" # Sijapotea kutoka kwenye maagizo yako Kutokaidi maagizo ya Mungu inazungumziwa kana kwamba mwandishi hajatembea mbali na maagizo ya Mungu. "Ninatii maagizo yako"