# MEMU Hili ni jina la herufi ya kumi na tatu ya alfabeti ya Kihebrania. Katika lugha ya Kihebrabia, kila mstari wa msistari ya 97-104 unaanza na herufi hii. # amri zako daima zako na mimi Kuwaza daima kuhusu amri za Mungu inazungumziwa kana kwamba amri ni kitu ambacho mwandishi anakua nacho muda wote.