# Wenye kiburi "Watu wenye kiburi" # walinipaka na uongo Watu kusema uongo kuhusu mtu inazungumziwa kana kwamba wamemfanya mtu kuwa mchafu kwa kumpaka uongo. # kwa moyo wangu wote Hapa "moyo" unawakilisha nia ya mtu. "kwa umakini kamili" au "kabisa" # Mioyo yao imefanywa kuwa migumu Hapa "mioyo" inawakilisha nia za watu. Mtu kuwa msumbufu inazungumziwa kana kwamba mioyo yao au nia zao ni ngumu kama jiwe. ""Ni wakaidi"