# TETHI Hili ni jina la herufi ya tisa ya alfabeti ya Kihebrania. Katika lugha ya Kihebrabia, kila mstari wa msistari ya 65-72 unaanza na herufi hii. # kwa mtumishi wako Mwandishi anajieleza kama "mtumishi wako." "kwangu, mtumishi wako" au "kwangu" # kwa njia ya neno lako Hii ni lahaja. "Neno lako" inamaanisha ahadi za Yahwe alizompa mwandishi. "kama ulivyoahidi"