# VAV Hili ni jina la herufi ya sita ya alfabeti ya Kihebrania. Katika lugha ya Kihebrabia, kila mstari wa msistari ya 41-48 unaanza na herufi hii. # nipe upendo wako usiokoma Hili ni ombi. "tafadhali nipe upendo wako usiokoma" # wokovu wako "nipe wokovu wako" au "niokoe" # jibu "itikio"