# moyomnyofu "moyo wa ukweli." Mtu ambaye ni mkweli atafanya kilicho sawa. Moyo unamaanisha kiini cha hisia ndani ya mtu. # sheria zako "Sheria" inamaanisha sheria au amri za Mungu.