# Taarifa ya Jumla: Usambamba ni kawaida katika mashairi ya Kiebrania. # Kwa "Kwa sababu" # uaminifu wake wa agano ni mkubwa kwetu "uaminifu wake wa agano kwetu ni mkubwa " # unadumu milele "upo milele"