# Taarifa ya Jumla: Mtu anayeimba wimbo huu anaendelea kumwelezea mtu anaye mheshimu sana Yahwe. # Kwa kuwa hatasogezwa hatasumbuliwa au kuzidiwa kwa hali yoyote kwa kuwa imani yake iko katika Yahwe. Hii inaweza kuelezwa katika hali ya kutenda. "kwa kuwa hakuna kitu kitakachomsogeza" # kwa kuwa mtu mwenye haki atakumbukwa milele Hii inaweza kuelezwa katika hali ya kutenda. "watu watamkumbuka mtu mwenye haki milele"