# Wewe ni Yahwe anazungumza na bwana. # hautabadilika Hii inamaanisha kwamba hatabadili alichosema. "hatabadili mawazo yake" au "hatabadili alichosema" # baada ya mfano wa Melkizedeki Maneno yasiyokowepo yanaweza kuongezwa. "baada ya mfano alivyokuwa kuhani Melkizedeki" au "katika njia ile ile alivyokuwa kuhani Melkizedeki"