# Taarifa ya Jumla: Usambamba ni kawaida katika mashairi ya Kiebrania. # Kwa mwanamuziki mkuu "Hii ni kwa kiongozi wa muziki kutumia katika kuabudu" # Zaburi ya Daudi Maana zinazowezekana ni 1) Daudi aliiandika zaburi au 2) zaburi inamhusu Daudi au 3) zaburi iko katika mtindo wa zaburi za Daudi. # Kwa waovu na waongo Maneno "uovu" na "uongo" inamaanisha watu. Zina maana yakufanana na inasisitiza jinsi watu hawa walivyo waovu. "Kwa wanaume waovu na waongo"