# anafanya vitendo vya hukumu kwa ajili ya "anasababisha hukumu kutokea" # wote walio kandamizwa "wote walio kandamizwa na watu" # matendo yake kwa uzao "alifanya matendo yake yajulikane kwa uzao" # ana uaminifu mkuu wa agano amejaa huruma na upendo"