# Anaitisha akilini "anakumbuka" # mwisho wote wa dunia ... dunia yote Hizi ni njia zingine za kusema watu wa duniani. "watu kutoka duniani kote .. watu wote duniani" # wataona utukufu wa Mungu wetu Nomino dhahania inaweza kutafsiriwa na kitenzi "kushinda." "watamwona Mungu wetu akiwashinda adui zake" # pasukeni katika wimbo "kuanza kuimba ghafla kwa furaha" # imbeni kwa furaha "imbeni kwa sababu mnafuraha" # imbeni sifa "imbeni sifa kwa Mungu"