# Mpeni Yahwe sifa ... mpeni Yahwe kwa utukufu wake na nguvu "Msifuni Yahwe ... msifuni Yahwe kwa kuwa anautukufu na nguvu." # Mpeni Yahwe utukufu ambao jina lake linastahili "Mpeni heshima Yahwe kama jina lake linavyostahili" au "Tangaza kuwa Yahwe ni mtukufu kama jina lake linavyostahili." # jina lake "jina" linamaanisha Mungu. "yeye" # nyua zake baraza la hekalu ambapo makuhani walitoa sadaka ya wanyama kwa Yahwe