# Taarifa ya Jumla: Usambamba ni kawaida katika mashairi ya Kiebrania. # wimbo mpya wimbo ambao hakuna mtu aliyewahi kuimba # dunia yote Hii inamaanisha watu wa duniani. "nyie watu wote mnaoishi duniani" # barikini jina lake neno "jina" linamaanisha Yahwe mwenyewe. "mbarikini Yahwe" au "fanya kinachomfanya Yahwe afurahi." # tangazeni wokovu wake "tangazeni kwamba ametuokoa" au "waambie watu kuwa yeye ndiye aokoae"