# tupige magoti kuweka magoti yote ardhini, mara nyingi kuonesha unyenyekevu # watu wa malisho yake Neno "malisho" ni njia nyingine ya kusema chakula ambacho watu wanakula katika malisho, ambayo pia inamaanisha kila kitu ambacho yahwe anatoa kwa ajili ya watu wake. "sisi ni watu ambaye huwa anatupa mahitaji yetu" # malisho eneo ambalo wanyama hupata nyasi za kula # kondoo wa mkono wake Neno "mkono" hapa linamaanisha jinsi Yahwe anavyowalinda watu wake kama mchungaji anavyowalinda kondoo wake. "watu ambao anawalinda kama mchungaji anavyowalinda kondoo wake" # Leo—o, kwamba usikie sauti yake! "O, kwamba usikie sauti yake leo!" Mwandishi anajiingilia makusudi katika kile alichokuwa akikisema. # utasikia sauti yake Hapa "sauti yake" inamaanisha kusikiliza kwa makini neno la Mungu. "msikilize kwa makini"